673965
25
Zoom out
Zoom in
Previous page
1/48
Next page
EN
FA
AR
SW
TR
PT
ES
FR
25
34
Kusoma Taa za Ishara
: Imewaka : Inamweka
Hali ya Kawaida
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi).
Kichapishi kimeunganishwa kwenye mtandao kupitia modi ya Wi-Fi Direct (AP Rahisi).
Hali ya Hitilafu
Hitilafu ya muunganisho wa Wi-Fi imetokea. Bonyeza kitufe cha ili utatue hitilafu na ujaribu tena.
Huenda ujazaji wa wino wa mwanzo haujakamilika. Angalia Anza Hapa ukamilishe ujazaji wa wino wa
mwanzo.
Hakuna karatsi imewekwa au zaidi ya karatasi moja zimeingizwa kwa wakati mmoja. Weka karatasi na
ubonyeze kitufe cha
au .
Karatasi imekwama. Ondoa karatasi na ubonyeze kitufe cha au .
& “Kuondoa Msongamano wa Karatasi” kwenye ukurasa wa 45
Kama taa ya kiashirio itaendelea kumweka, angalia sehemu ya karatasi zilizokwamba kutoka kwenye
“Kutatua Matatizo katika Mwongozo wa Mtumiaji.
Kichapishi hakikuzimwa vizuri. Baada ya kuondoa kosa kwa kubonyeza kitufe cha au , ghairi
kazi zote zinazosubiri za kuchapisha. Tunapendekeza utekeleze ukaguzi wa nozeli kwa sababu huenda
nozeli imekauka au imezibwa.
Ili kuzima kichapishi, hakikisha umebonyeza kitufe cha
.
O Kumweka bila kukoma: Pedi ya wino iko karibu au imekisha mwisho wa huduma yake.
O Kumweka kwa kubadilishana: Pedi ya wino isiyokuwa na mpaka iko karibu au imekisha mwisho
wa huduma yake. Uchapishaji usiokuwa na mipaka haupatikani, lakini uchapishaji wenye mipaka
unapatikana.
Ili kubadilisha pedi ya wino au pedi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mipaka, wasiliana na Epson au
mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson.
Kichapishi kimeanza katika modi ya kurejesha kwa sababu sasisho la programu
msingi halijafaulu.
Kwa maelezo zaidi, angalia jedwali la viashiria hitilafu kutoka kwenye “Kutatua
Matatizo katika Mwongozo wa Mtumiaji.
Hitilafu ya printa imetokea. Fungua kifuniko cha nyuma na uondoe karatasi yoyote
ndani ya printa. Zima na uwashe printa tena. Ikiwa hitilafu itaendelea kuonekana
baada ya kuzima nishati na kuwasha tena, wasiliana na usaidizi wa Epson.
25


Need help? Post your question in this forum.

Forumrules
1

Forum

epson-ecotank-et-2710

Reset search

  • I am able to print from my computer but do not know how to access other functions Submitted on 4-7-2023 at 03:40

    Reply Report abuse
  • How to clear an ink nozzle when the cleaning has failed to do so on an ET 2710 Ecotank Submitted on 11-4-2022 at 18:05

    Reply Report abuse
  • If I have several pages of a document, where can I place them so they can be photocopied one after the other. Submitted on 18-7-2020 at 19:55

    Reply Report abuse


Report abuse

Libble takes abuse of its services very seriously. We're committed to dealing with such abuse according to the laws in your country of residence. When you submit a report, we'll investigate it and take the appropriate action. We'll get back to you only if we require additional details or have more information to share.

Product:

For example, Anti-Semitic content, racist content, or material that could result in a violent physical act.

For example, a credit card number, a personal identification number, or an unlisted home address. Note that email addresses and full names are not considered private information.

Forumrules

To achieve meaningful questions, we apply the following rules:

Register

Register getting emails for Epson EcoTank ET-2710 at:


You will receive an email to register for one or both of the options.


Get your user manual by e-mail

Enter your email address to receive the manual of Epson EcoTank ET-2710 in the language / languages: English, French, Portuguese, Swedish, Portuguese, Spanish as an attachment in your email.

The manual is 1,07 mb in size.

 

You will receive the manual in your email within minutes. If you have not received an email, then probably have entered the wrong email address or your mailbox is too full. In addition, it may be that your ISP may have a maximum size for emails to receive.

Others manual(s) of Epson EcoTank ET-2710

Epson EcoTank ET-2710 User Manual - English - 149 pages

Epson EcoTank ET-2710 User Manual - German - 155 pages

Epson EcoTank ET-2710 User Manual - Dutch - 151 pages

Epson EcoTank ET-2710 User Manual - French - 154 pages


The manual is sent by email. Check your email

If you have not received an email with the manual within fifteen minutes, it may be that you have a entered a wrong email address or that your ISP has set a maximum size to receive email that is smaller than the size of the manual.

The email address you have provided is not correct.

Please check the email address and correct it.

Your question is posted on this page

Would you like to receive an email when new answers and questions are posted? Please enter your email address.



Info